Matukio

Napandaje mabasi?

  • I. Pitisha kadi au tiketi yako ya karatasi ya kieletroni kwenye mashine mpaka uone mshale wa kijani utakaokuruhusu kupita.
  • ii. Ukiwa kwenye kituo cha basi, subiri basi kwenye eneo la kupandia.
  • iii. Ukiwa unapanda basi, tahadhari nafasi iliyopo baina ya basi na mahali pakupandia.
  • iv. Tafadhali usikalie viti vilivyotengwa kwaajili ya makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu, wajawazito, wenye watoto na wazee.
  • V. zingatia kwamba mabasi huja kwa kufata ratiba. Kwahiyo usigombanie.

Ramani

    Hakuna Taarifa kwa sasa