Matukio

Habari

Taarifa

Taarifa

Kwa kipindi cha miezi miwili (2) kuanzia tarehe 31/08/2018 kutakuwa na mabadiliko katika matumizi ya barabara katika eneo la Ubungo & Shekilango ili kupisha ujenzi wa barabara ya Juu (Flyover). Alama elekezi zitawekwa barabarani. Tunaomba radhi kwa usumbufu utaojitokeza.

Ramani

    Hakuna Taarifa kwa sasa