Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Maegesho

Huduma za maegesho ya magari, pikipiki na baiskeli ni miongoni mwa huduma zitolewazo na Wakala wa DART katika Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka. Huduma hii hutolewa kwa kulipia gharama kidogo kwa ajili ya kurahisha shughuli za uendeshaji.

Maeneo ambako huduma huduma hizi zinapatika katika Mfumo wa DART ni katika Kituo Kiuu cha Kivukoni, Katika Kituo Kikuu cha Gerezani, Kituo Kikuu cha Mangala pamoja na eneo la Mtoni kwa Aziz Ali.