Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
MFUMO WA DART AWAMU YA NNE
Kwa awamu ya nne, wataalam washauri kampuni ya M/s Kunhwa kutoka nchini Korea wakishirikiana na kampuni ya AQGOLA ya nchini Tanzania zilizo patikana kupita manunuzi ya TANROADS mapema mwaka 2019, kusanifu miundombinu kwa awamu ya nne ambapo kazi hiyo ilianza Aprili 2019. Mtaalam mshauri amekabidhi drafti ya mwisho ya usanifu ambayo ipo kwenye mchakato wa mapitio kabla ya tenda kutangazwa.