Sehemu ya washiriki katika kikao cha kwanza kati ya DART na IFC kilichofanyika Januari 28, 2025 jijini Dar es Salaam. Wa kwanza mbele kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DART, Dk. Athumani Kihamia.

Ujumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU) wakipata maelezo kuhusu Mageti Janja wakati wa ziara ya mafunzo waliyoifanya Desemba 20, 2024 katika Mradi wa DART.

Hafla ya utiaji saini wa Mshauri wa Miamala kati ya Wakala wa DART na IFC iliyofanyika tarehe 6 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa DART, Dkt. Athumani Kihamia akiongea na Waandishi wa Habari Novemba 22, 2024 kuhusu Ofa ya Sikukuu za Mwisho wa Mwaka kwa abiria anayenunua Kadi ya Mwendokasi kwa ajili ya kulipia nauli.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba akisalimiana na timu ya menejimenti ya Wakala wa DART Septemba 24, 2024 pale alipotembelea wakala kwa ziara ya kikazi.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba akisaini kitabu cha wageni pale alipotembelea Ofisi za Wakala wa DART tarehe 24 Septemba 2024 Ubungo Maji Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu DART, Dkt. Athumani Kihamia akitoa maelezo ya matumizi ya Geti Janja kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuzindua matumizi ya Kadi katika kulipa nauli kwenye Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka tarehe 02 Septemba 2024.

Afisa wa DART akitoa elimu kuhusu matumizi ya Kadi Janja ya Mwendokasi kwa Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka katika Kituo Kikuu cha Kimara mara baada ya uzinduzi Septemba 2, 2024.

Afisa wa DART akitoa elimu kuhusu Mradi wa Maendeleo Yatokanayo na Maboresho ya Usafiri wa Umma (TOD) kwa Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka katika Kituo Kikuu cha Gerezani.