Dkt Philemon Mzee
Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu
Wasifu
Mhandisi Dkt Philemon Mzee ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu. Anauzoefu wa zaidi ya miaka 15 akibobea katika menejiment ya sayansi na uhandisi. Mhandisi Dkt. Mzee ana shahada ya uzamivu katika Menejiment ya Sayansi na Uhandisi kutoka Chuo Kikuu cha Dalian nchini China. Pia ana Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara kutoka China, na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka India. Ni Mhandisi Mitambo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) ya Tanzania.