Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Mabasi Ya Wanafunzi

MABASI MAALUM YA WANAFUNZI

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umewapa umuhimu wa pekee kundi la wanafunzi wanaosoma shule zilizoko kando kando ya Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka pale wanapoelekea shule nyakati za asubuhi na vilevile wanaporudi nyumbani nyakati za jioni.

Wakala wa DART umethamini kundi hilo kwa kuwatengea mabasi maalumu nyakati za asubuhi na jioni ambayo huwasafirisha wanafunzi pekee wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa chini ya usimamizi.

Ratiba za mabasi ya Wanafunzi ni kama inavyoonekana hapo chini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa.

AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA DART

Na.

KUTOKA

MUDA

KUELEKEA

1.

KIMARA

12:00 ASUBUHI

GEREZANI

2.

KIMARA

12:20 ASUBUHI

KIVUKONI

3.

KIVUKONI

10:30 JIONI

KIMARA

4.

GEREZANI

11:00 JIONI

KIMARA

 

AWAMU YA PILI YA MRADI WA DART

Na.

KUTOKA

MUDA

KUELEKEA

1.

MBAGALA

12:00 ASUBUHI

GEREZANI

12:00 ASUBUHI

KIVUKONI

2.

MBAGALA

12:30 ASUBUHI

GEREZANI

12:30 ASUBUHI

KIVUKONI

12:30 ASUBUHI

ILALA BOMA

3.

MBAGALA

12:45 ASUBUHI

GEREZANI

12:45 ASUBUHI

KIVUKONI

4.

MBAGALA

1:00 ASUBUHI

GEREZANI

1:00 ASUBUHI

KIVUKONI

5.

GEREZANI

10:00 JIONI

MBAGALA

11:00 JIONI

MBAGALA

12:00 JIONI

MBAGALA

6.

KIVUKONI

9:00 ALASIRI

MBAGALA

10:00 JIONI

MBAGALA

11:00 JIONI

MBAGALA

7.

ILALA BOMA

10:30 JIONI

MBAGALA