Eneo la Biashara Kituo Kikuu Gerezani
Eneo la Biashara Kituo Kikuu Gerezani
Wakala upo katika mchakato wa kujenga Vituo vya biashara ndani ya Vituo Vikuu ambavyo vitahusisha utoaji huduma mbalimbali. Huduma zinazolengwa ni pamoja huduma za kimawasiliano ya simu, huduma kutoka taasisi za kiserikali pamoja na utoaji wa huduma za msingi kwa watumiaji.