TOD Ni Nini?
TOD Ni Nini?
ToD ni nini?
TOD ni maendeleo yatokanayo na uboreshaji wa usafiri wa umma mijini.Lengo likiwa ni kuboresha njia za usafiri wa umma kwa kukusanya huduma za biashara,ofisi na makazi karibu na vituo vya usafiri.Mkakati huu unahusisha ujenzi wa maeneo rafiki kwa waenda kwa miguu na kuboresha urahisi wa usafiri ili kuhamasisha matumizi ya usafiri wa umma.