Maeneo ya Matangazo
Maeneo ya Matangazo
Ushoroba wa Mradi wa DART ni sehemu ya kuvutia ambayo kampuni za ndani na za kimataifa zinaweza kutumia kutangaza bidhaa zao kuhusiana na sifa, vifurushi vya bidhaa. Kwa sasa tunazo kampuni chache za matangazo, Wakala unapenda kuzikaribisha kampuni nyingine kutumia fursa hii kuja kutangaza katika ushoroba wa Mradi wa DART ili kuongeza wateja katika biashara zao. Maeneo ya matangazo ni pamoja na Madaraja ya Watembea kwa Miguu, Vituo vidogo na Vituo vikuu, Fursa ya kuvipa vituo majina, kutangaza katika Mabasi pamoja na katika kurasa za Mitandao ya Kijamii ya Wakala wa DART.