Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Jinsi ya kuweka salio kwenye Kadi ya Mwendokasi kwa abiria anayetumia huduma ya NMB Mkononi
12 Sep, 2024
Jinsi ya kuweka salio kwenye Kadi ya Mwendokasi kwa abiria anayetumia huduma ya NMB Mkononi
  • Piga *150*66#
  • Chagua 2 Lipa Bili
  • Chagua 3 Serikali
  • Ingiza Namba ya Malipo
  • Weka 1 Lipa
  • Ingiza kiasi kisichopungua TZS 1
  • Ingiza PIN ya NMB Mkononi
  • Weka 1 kuthibitisha
  • Utaletewa ujumbe ombi lako limepokelewa