Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Kamati ya Bunge Yakagua Mradi wa DART awamu ya Kwanza ya Pili na Ya tatu
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI ikipokea Maelezo kutoa kwa Mkandarasi wa Mradi wa DART awamu ya Tatu tarehe 4 Mei 2024.