Jinsi ya kuweka Salio kwenye Kadi ya Mwendokasi kwa Abiria anayetumia Benki ya NBC
Jinsi ya kuweka Salio kwenye Kadi ya Mwendokasi kwa Abiria anayetumia Benki ya NBC
17 Sep, 2024
- Piga *150*55#
- Weka neno lako la Siri kuendelea
- Chagua 2 Lipa bili
- Weka 1 chagua Kampuni
- Bonyeza ## kuendelea
- Chagua 4 Malipo ya Serikali
- Ingiza Namba ya Malipo
- Weka kiasi
- Bonyeza 1 kuthibitisha
- Utapokea ujumbe kukuarifu malipo yamekamilika